ghorofa la kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  2. Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo

    Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara akitaka afuatiliwe na kueleza nani aliyempa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia ajali ya...
  3. Nilichojifunza kutokana na ajali ya ghorofa la Kariakoo

    Sitaki salamu, ninaingia kwenye mada moja kwa moja. Wazungu wanasema experience is the best teacher. Ajali ya kuanguka ghorofa la Kariakoo imenipa mafunzo mengi. Bila kupoteza muda, ajali hii imenifundisha mambo mengi sana, yakiwemo haya hapa: 1. Watawala wa nchi hii hawana huruma kwa wanyonge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…