Iran
Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
Wanaukumbi.
Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza.
Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu...
Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la IRGC alionya jeshi la Marekani katika Ghuba ya Uajemi
May 29, 2023 02:31 UTC
[https://media]Alireza Tangsiri
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amepinga vikali kuwepo kwa jeshi la Marekani katika eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.