Mhubiri mwenye utata kutoka Kenya, Gilbert Deya, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne jioni karibu na mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, Deya alifariki papo hapo baada ya gari lake kugongana na basi la chuo kikuu pamoja na gari jingine...