gim na joging

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waajiriwa ndio wana muda gym na Jogging, Wafanyabiashara hawana huo muda

    Kama ukijaribu kuchunguza wahudhuriaji wengi wa Gym na zile Jogging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gym au Jogging. Mbaya zaidi sasa hao wafanyakazi ikitokea kapigwa chini kazini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…