Mimi ni Mbena mzaliwa wa Mbeya, kwasasa ni mfanyabiashara mkubwa, nina export parachichi, nina mashamba ya miti ya nguzo, miti ya mpodo, miti ya pine, na miti ya mitiki, tick trees. Pia nina maduka ya vipodozi Dar, Mbeya, Tunduma, Arusha na Mwanza.
Sasa haya mambo ya biashara kila mtu ana...