gitaa la garatoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DeMostAdmired

    Naenda Arusha kununua Gitaa la Garatoni. Nijuzeni ni vitu gani vya kuzingatia

    Wakuu habari zenu? Leo nitatoka mkoa jirani nilipo nitasogea Arusha kuchukua GITAA la garatoni ili niweze kuanza rasmi mafunzo ya gitaa. Nina ndoto toka zamani kuja kuwa mpiga vyombo vya muziki (mniombee niitimize). Mwalimu nishampata lakini ni mzee yeye anapiga kwenye band moja hapa mjini...
Back
Top Bottom