Wakuu habari zenu?
Leo nitatoka mkoa jirani nilipo nitasogea Arusha kuchukua GITAA la garatoni ili niweze kuanza rasmi mafunzo ya gitaa. Nina ndoto toka zamani kuja kuwa mpiga vyombo vya muziki (mniombee niitimize).
Mwalimu nishampata lakini ni mzee yeye anapiga kwenye band moja hapa mjini...