Mwatusingizia wazenji. Mwaenda kusingizia wayuganda. Wakati polisi wenyu watanzania ndio walioua watu wengi. Huyo ndugu yako polisi unayemuona ni miongoni mwao walioshiriki kuua watu. Siye twawaangalia mnavyoneng'eneka.
Mwauana wenyewe kwa wenyewe kwa unyumbu wenyu. Mwabisha sio. Nawaulizeni...