glass

  1. DodomaTZ

    Kampuni ya kuzalisha vioo Tanzania yawasha mitambo, itatumia malighafi za Nchini kwa 80%

    Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024. Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya viongozi wa Kampuni pamoja wa Wafanyakazi wao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ceramics Co. Ltd, Wayne Zhong...
  2. A

    Mbezi Aluminium and Glass offer

    Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, poleni na harakati za hapa na pale, kikubwa tuombe uzima tufanikishe ndoto zetu na malengo yetu. Habari njema ni kwamba nimekuja na taarifa kua kama unapata shida ni kiasi gani kinatakiwa kwenye site yako kuhusu Madirisha ya Aluminium, milango ya...
  3. Jick

    Wauza spear used, nahitaji sunroof glass ya Toyota ipsum

    Habari ndugu jamaa na marafiki wa JF na wauza spear wote. Ninahitaji sunroof glass ya gari tajwa hapo juu. Kama ipo nicheki PM.
  4. Tommy 911

    INAUZWA Nauza glass protector za simu kwa shilingi elfu moja

    Habarini Wana JF. Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item. napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam. Contact: 0753158943
  5. Lububi

    Naomba kujuzwa location ya Saphire glass industry

    Nawasalimu kwa jina la atiaye pumzi ya uhai. Anayejua lication ya kilipo kiwanda cha Saphire Glass industry Mkuranga anielekeze. Nielekezen mtu toka mkoan kama nilivyo nachukua route ipi
  6. Surya

    Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

    Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo.. Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia...
  7. N

    Kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel

    Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti. Pamoja na hilo kuwe na retail shop ya vifaa vya aina hizo. Yaani kuwe na workshop na materials ziwe...
  8. Nafaka

    Naomba kujua bei ya frameless glass doors

    Wakuu nilikuwa naomba kujua gharama za frameless glass doors kwa sqm. Mfano wake hizi za bafuni
  9. Cordy bnei shirk

    TV4Sale Double glass 32 inch Europe strong TV Kwa 350,000 tu

    Brand New tv Full HD 1 year warranty Double glass Free delivery in Dar Tupo Aggrey/Ndanda street. Price :350,000Tsh Call 0788622610
  10. Ibrahim daud

    INAUZWA Glass za beer zinauzwa

    Glass za bia 1@5500 DSM ☎️ 0718909429
  11. Sky Eclat

    Doctor said, I can have one glass a day

  12. TECNO Tanzania

    TECNO yatangaza teknolojia mpya ya RGBW camera sensor + glass ambayo imetengenezwa kwa ushirikiano na Samsung kwenye mfululizo wake wa CAMON 19

    Barcelona, Uhispania, Februari 28, 2022 - Wakati wa toleo la hivi karibuni zaidi la Kongamano la Dunia la Simu (MWC 2022), moja ya matukio makuu katika ulimwengu wa teknolojia ya simu, TECNO Mobile, mtengenezaji wa simu za kisasa wa hali ya juu kabisa tulitangaza kuwa teknolojia ya kichujio cha...
  13. Mangi wa Rombo

    Unahitajika: glass slidding door

    Habari! Natafuta milango ya vioo ya ku slide kama inavoonekana kwenye picha. napatikana Dar es Salaam, kama unafaham wapi naweza kupata tafadhali nitashukuru ukinielekeza.
Back
Top Bottom