skia hii, jana nilikuwa napewa stori na dada mmoja anakaribiwa kuolewa
nikamwuliza amempataje mpenzi wake
akanijibu
Dada: Nimempata kwenye morning and evening glory nilikuwa naenda kila siku kanisani, kumbe huyo kaka akaniona akanipenda akawa anapima frequency ya kuja kanisani kama na beep...