goal

A goal is an idea of the future or desired result that a person or a group of people envision, plan and commit to achieve. People endeavour to reach goals within a finite time by setting deadlines.
A goal is roughly similar to a purpose or aim, the anticipated result which guides reaction, or an end, which is an object, either a physical object or an abstract object, that has intrinsic value.

View More On Wikipedia.org
  1. FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  2. Tujifunze kutofautisha kati ya goal keeper( mlinda lango) na mdakaji (catcher)

    Tusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena Diara ni mlinda lango yaani goal keeper ni anajua muda Gani atoke na muda wa kuwa langoni Foot work yake Iko juu Ni vigimu kumwona Diara anapoteza mipira Anapanga mabeki vyema Anaita walinzi wake vizuri Diara ni kipa namba 1 team ya Taifa...
  3. Goli la kwanza msimu NBC premier ni offside goal

    Tuweke takwimu sawa na safari ya vilio na mbiu dhidi ya marefa kutoka kwa mashabiki vianze Goli alilofunga Ngushi dhidi ya Dodoma Jiji ni clear offside Sasa sijui tuendelee kubaki kwenye makosa ya kibinadam au hatua zianze kuchukuliwa dhidi ya Wala rushwa
  4. M

    Euro 2024 goal analysis roud 1 & 2

    As we head into the final round of group matches, here is a small piece on what we have learned so far.The first round produced plenty of goals, 34 in total and majority coming from strikes just outside the penalty area ( zone 14), players demonstrating their immaculate technical proficiency of...
  5. Wadau wa Football: Hapa ni Goal au Sio Goal?

    Tumalize utata wadau
  6. Lile ni goal au siyo goal?

    Ni kama kasumba ya mipira inayoelekea golini kugonga kwenye mstari wa goal inaendelea kuwa mwiba mchungu kwa timu ya Yanga. Tena katika mechi muhimu ambazo wanahitaji matokeo ya ushindi. Ukianza na mechi baina ya Mamelod na Yanga, mpira uliyopigwa na Aziz Ki na kugusa mstari wa goal ulizua...
  7. Kuna tofauti kati ya VAR na Goal Line Technology

    Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli So...
  8. FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  9. Real Madrid last minutes winner goal not concerned

    Real Madrid thought they had scored a late winner but the referee had already called for full time. Jude Bellingham gets a red card for his reaction. Valencia 2 vs Real Madrid 2 Hugo Druro. ⚽ Viniciu jr ⚽⚽ Roman yeremchuk⚽
  10. Pacome na goal of the week, kule jezi ya Yanga kwenye wimbo wa AFCON 2023

    Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League. Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye video ya wimbo rasmi wa AFCON 2023 badala ya jezi za Taifa Stars. Yanga imekuwa maarufu Sana viunga...
  11. Sifa na Tabia za Mtu Mvivu Pamoja na Changamoto Zake. Mvivu ni Sawa na Mchezaji Aliyechoka Kufunga Goli Wakati Golikipa Hayupo

    Sifa na Tabia za Mtu Mvivu Pamoja na Changamoto Zake: Endapo mtu ni mvivu lakini ni mwenye afya, nguvu, hana ulemavu wowote wala matatizo ya kiakili mara nyingi huwa na sifa na tabia bainishwa zifuatazo: 1. Mtu mvivu hupenda kulala na huthamini usingizi kuliko kujituma: Mvivu yeyote hutumia...
  12. Hili goli lina nini cha ziada mpaka kuzungumzwa kiasi hiki?

  13. Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine. Sambamba na boss wa Cambiaso ================ Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
  14. Ni mwana Simba SC mwenye roho mbaya na ya kichawi ndiyo hatolifurahia 'Classic Goal' la Stephane Aziz Ki

    Kama mwana Simba SC ni goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila kiuanamichezo na hasa nikiwa kama mdau wa soka GENTAMYCINE, nisiwe mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni goli zuri hakuna mfano. Kwani alijiseti vyema kabisa na kunipigia 'muwa' wa maana ulioenda kule kule anakotagia mayai ndege...
  15. Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

    Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022. Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na...
  16. N

    Goodnews: Pape Sakho apenya 3 bora nominees goal bora

    Baada ya mchujo mkali hawa ndiyo watakaotengewa meza zao siku ya sherehe hapo morroco,may God bless POS abebe hii tuzo
  17. CAF Goal of the Year; mpigie kura Pape Sakho

    http://cafawards2022goty.com/
  18. C

    Baada ya as vita kutolewa ,mazembe naye keshapigwa goal

    As vita a.k.a utopolo de kinshasa wametolewa na ka team kageni cha south africa kwenye kombe la shirikisho kaitwacho Garrants, mechi ya kwanza kapigwa 2-1 huko south africa ,pale kinshasa katoka 1-1 Kwa sasa Giant jingine la congo liko kikaangoni nyumbani kwao lubumbashi , tayari wako nyuma kwa...
  19. M

    Two hat-tricks in two games: Zambia goal machine Banda taking the Olympics by storm

    The 21-year-old, who idolises Cristiano Ronaldo, has already written her name into the record books at Tokyo 2020 Barbra Banda has played two matches at an Olympic Games – and she is already in the record books. She is the first woman to score two hat-tricks in one women’s football tournament...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…