god makoi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AmKATRINA

    TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

    Pumzika mpambanaji Honorath Godfrey Makoi ulikuwa na ndoto nyingi sana. Msiba uko nyumbani kwake Swaswa. Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma. 1. Chako ni Chako 2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔) 3. The Evick...
Back
Top Bottom