godwin kunambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Kunambi: Waziri nipe kibali nikarabati barabara na Wananchi, serikali mmeshindwa

    Wakuu Joto kuelekea Uchaguzi == Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi ameiomba serikali kumpa kibali ashirikiane na wananchi kukarabati miundombinu ya barabara katika jimbo la Mlimba ambayo serikali imeshindwa kukarabati. Kunambi ameyasema hayo wakati akichangia hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge...
  2. Mkalukungone mwamba

    Mbunge Kunambi: Baadhi ma RC na ma DC wanakamata wananchi bila sababu ya msingi

    Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amesema baadhi ya Wakuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wamekuwa na vitendo vya kukamata Wananchi bila sababu ya msingi. Ameeleza jambo hilo limetokea katika jimbo lake la Mlimba ambapo Mkuu wa Wilaya wa Kilombero tarehe 26 Agosti, 2024 Kata ya Mbingu kijiji cha...
  3. J

    Dkt. Msukuma amkosoa Godwin Kunambi kwa kujenga hoteli na Soko la Ndugai, miradi ya hasara tupu!

    Akichambua Ripoti ya CAG, Dr Msukuma Mbunge wa Geita vijijini amemlaumu Godwin Kunambi aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kwa kutekeleza miradi inayoleta hasara. Dkt. Msukuma amesema Ujenzi wa Hotel ya nyota 5 ni ubabaishaji mtupu. Ujenzi wa Soko la Ndugai hauna tija na Fedha iliyowekezwa...
  4. Analogia Malenga

    Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  5. Analogia Malenga

    TARURA: Ni kweli Daraja la Mto Mngeta lilitumia Tsh. milion 31

    SIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo. Mhandisi Robert Magogo ambaye...
  6. The Sheriff

    Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

    Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli. Akichangia hoja Bungeni, Kunambi amesema: Kazi kubwa ambayo mimi naomba nishauri Bunge letu tukufu ni... amefanya...
Back
Top Bottom