Huwa naangalia mechi za Simba, nawajua, kwahiyo nilimuona anavyocheza na nilifahamu akipata mpira eneo lile atafanya nini, nilijua ataenda kushoto na sikuwa na presha.
"Nilivyookoa sikuhama eneo nikasimama vile vile nilijua mpinzani atapiga nikaokoa tena"
Mechi yangu bora ya Simba na Yanga...