gomez

Gómez is a common Spanish patronymic surname meaning "son of Gome". The Portuguese and Old Galician version is Gomes, while the Catalan form is Gomis. The given name Gome is derived from the Visigothic word guma, "man", with multiple Germanic cognates with the same meaning (Old English guma, Middle English gome)/gomo High Old German gomo, Middle High German gome), which are related to Latin homo, "man".

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Selena Gomez Benny Blanco - Sunset Blvd

    Selena Gomez, Benny Blanco - Sunset Blvd MP3 DOWNLOAD She shared a black-and-white image with Blanco in that post, adding that the photo was their first as a couple. Blanco proposed to singer in December. "Already know this is going to be on repeat," Hulu commented. Gomez stars in Only...
  2. W

    Selena Gomez Aingia Orodha ya Mabilionea

    Mwigizaji na Mwanamuziki, Selena Gomez (32) ameingia katika orodha ya ‘Self made’ Bilionea Septemba 6, 2024 Kulingana na taarifa ya mtandao wa Bloomberg imesema kuwa Selena ana utajiri wa Tsh trilioni 3.5 kupitia kampuni yake ya Rare Beauty aliyoanziaha miaka mitano iliyopita Aidha Selena...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    Selena Gomez 2018 and 2024

    Selena has lupus, has undergone underwent a kidney transplant and chemotherapy.
  4. B

    Simba Sc mchukueni Bruno Gomez

    Kuna tetesi ya Bruno Gomez kuondoka Singida Fountain Gate. Naomba timu yangu kubwa Simba sports club tumuwahi mchezaji huyu na bonge moja la kiungo. Simba kwa siku za hivi karibuni tunakosa kiungo mshapu wa kupandisha timu kwa haraka inapoenda kushambulia, hivyo nafasi ya Gomes ni ya muhimu sana...
  5. Mohammed wa 5

    Bruno Gomes ni zaidi ya Chama

    BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars. Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo...
  6. H

    Selena Gomez becomes the First Woman in history to surpass 400 Million Followers on Instagram

    Selena Gomez becomes the first woman in history to surpass 400 million followers on Instagram.
  7. K

    Nawashauri wanaSimba tumrudishe Gomez

    Tujipe pole wana Simba. Mchezo wa leo haukuwa upande wetu. Nashauri tumrudishe kocha wetu wa zamani kocha Gomez. Mnaonaje?.
  8. kavulata

    Mungu ibariki Police Tanzania FC imlipie kisasi Gomez

    Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
  9. GENTAMYCINE

    Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

    1. Meneja Patrick Rweymamu 2. Mratibu Abbas 3. Kipa Aishi Manula 4. Beki Shomary Kapombe 5. Beki Pascal Wawa 6. Nahodha John Boko 7. Kocha Selemani Matola Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani...
  10. Last emperor

    Simba sasa hivi inacheza mpira makande

    Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu! Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo. Leo nimeona takwimu eti Simba katika mechi 2 za ligi ndo...
Back
Top Bottom