Takriban wavuvi 115 wanatibiwa katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, baada ya kutoka baharini wakiwa na vidonda vya maumivu kwenye ngozi.
"Sio ugonjwa wa kuambukiza - haiwezekani", anasema Karamba Kaba, daktari katika Hospitali ya Donka, akiongeza:
"Tulisoma kwenye mitandao ya kijamii kwamba...