Well Miaka ya nyuma kidogo nikiwa A level nilipata manzi wa kizigua kwenye ndinga wakati huo kuona simu ya rangi ilikuwa msala,manzi alikuwa nayo sonny, wakati huo.
Sijui ilitokea nini tukaanza kuongea ila nakumbuka tulipofika kituo watu wkale na kuchimba dawa akasema nimsubiri anakuja...