Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi
Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake
Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje...