SIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241
MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party).
Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu, ukichoma ama kuharibu mali ya mtu, anayekuwa amekosewa/ ameumizwa ni huyo mwenye mali yake au huyo...