Mjadala ulizuka baada ya muimbaji wa nyimbo za Injili kuchoma moto gari alilopewa kama zawadi na Mchungaji, ambapo baadhi ya watu walisema hilo ni kosa kisheria wengine wakisema siyo kosa kisheria. Wakili Bashir Yakub alilitolea ufafanuzi upande wa kisheria (zaidi soma hapa), lakini je, upande...
Katika mahojiano yake ya kwanza aliyofanya kupitia Gozbet Ministries ameeleza sababu ya kuchoma gari lake moto.
Soma, Pia: Mtume kanisani kwa GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari alilochoma Goodluck
Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri.
Shetani ktk hii dunia ya leo anafanya kazi kwa namna ukijuwa unaweza kuogopa watu,zawadi,maneno,vyakula, macho ya watu nk.
Ndugu...
Mtume kanisani kwa nabii mkuu GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari aliyochoma Goodluck Gozbert, kinachomtesa msanii huyo wa nyimbo za injili
Pia, Soma: Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert
Bishop Masanja Mkandamizaji amefunguka kwa uchungu.....
"Nimeona story ya Kuchomoa gari!!
ninachojua Nabii @geordavietv amewapa Magari watu Kadhaa!"
Ameendelea kusema....
"Ombi langu kwa yeyote aliyepewa gari na Nabii, kama anataka na yeye kuchoma naliomba mimi na ninalifata mwenyewe...
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi
Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake
Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.