Habari zenu
Sina hakika kama hili ni jukwaa sahihi kwa hii mada, lakini Naomba kuiwasilisha humu kwa mwenye kufahamu basi anifahamishe.
Nimekuwa nikijihusisha na Blogging kwa miaka 4 sasa na nimepata uzoefu mkubwa sana kuanzia kwenye kutengeneza blog, kuendesha blog na ku-brand. Kufikia mwezi...