google play console

  1. Jay_255

    Google Play Console zinanunuliwa kuanzia milioni 3 nakuendelea

    Kwa wale wanaomiliki google play console. Google play console ni account wanazomiliki watu wanaoweka apps zao playstore. Kwa sasa kama una google play console ambayo ina zaidi ya mwaka mmoja tokea uisajili basi unaweza ukaiuza kuanzia milioni 3 na kuendelea. Ila hakikisha tu ila app ambayo ipo...
  2. Jay_255

    Inahitajika google play console haraka sana offa ya milioni 2 ipo mezani.

    Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).💲💲 Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) 🤑🤑🤑 ☎️👉 0711707070 Sifa za account 1.Iwe na zaidi ya mwaka tokea isajiliwe 2.Iwe na app...
  3. G

    Natafuta anayeuza Google-Play Console nifanye naye biashara

    Je ? Una google play console account. 1. Nanunua google play console angalau kuanzia mwaka 1 na kuendelea(chini ya mwaka tutazungumza). 2. Nanunua google play console yenye live app kuanzia 1 na zaidi,keystore&password na source code. 3. Nanunua google play console yenye live app bila keystore...
  4. NetFasta

    Nanunua Google play console

    Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
  5. Jay_255

    Natafuta mtu mwenye application yoyote playstore ila aliitelekeza kwa kuona haimlipi

    Habari, kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023. Nina uhitaji wa google console account / play store developer account. Njoo pm please
  6. bending moment

    Nanunua google play console mpaka Tsh. Milioni 1

    Habari, nanunua google play console yenye zaidi ya mwaka bei 500,000 mpka 1M. ikiwa na live apps +sourcecode& keystore itapendeza zaidi
  7. Flowerpot

    Jinsi gani naweza kulipia developer fee google play console?

    NImejaribu na NMB debit card lakini napata "Your card’s issuer declined this request. Contact your bank or use a different payment method. Learn more [OR-CCSEH-26]". Nimeenda bank wananiambia tayari card imewezeshwa kufanya malipo mtandaoni. NIme-google naona wahindi pia linawasumbua hili...
Back
Top Bottom