Wakuu
Mwenye Raman ya Ki gorofa naomba anitumie..
Ki gorofa flani hivi Cha kishkaji Low budget Kwa mm ninae jitafuta .. nimepanga 2025 nianze ujenzi lakini sio nyumba ya chini plan ni ki gorofa,
Zingatia neno Ki gorofa 😀
Hii ajali imetupa majonzi makubwa
Ajali hii imetupa funzo kuanzia kwenye chanzo, Kwa maana ujenzi na mamlaka zake
Uwajibikaji, hapa nazungumzia vibali vya kujenga majengo marefu, Ya nazingatia vigezo
Wakati wa ajali,
Watu kujaa kwenye majengo
Uzembe wakati wa uokoaji
Uokoaji ulitumia siku 8...
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa Kariakoo aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee
Yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29
Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia...
Habarini
Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua:
Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160
Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake
Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii...
Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri
Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa
Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii
Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Waandishi wa...
Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya.
Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari...
Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo...
NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA.
Location : Goba
TAARIFA ZA NYUMBA
1) GOROFA YA JUU
--- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa kichwa.
---GYM yenye CHUMBA na CHOO ndani yake.Ukiwa unatoka nje ya Gym kuna balcon nyingine...
One of our project at kibada kigamboni
We do building design
We do constrution at affordable price
We do consultation
Call /whatsap 0624004650
Office Sinza
Hatuna Barabara , shule zetu mbovu sana . Bima za afya ni majanga .
Maji hatuna ,umeme hatuna wa uwakika .
We are very poor
Kwa nini tunajenga flow 22 za gorofa Kenya Kama barozi !!???
Tunaenda wapi ?!
Tanzania is dead
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.