Data governance is a term used on both a macro and a micro level. The former is a political concept and forms part of international relations and Internet governance; the latter is a data management concept and forms part of corporate data governance.
Kupata stahiki yako kwa njia ya haki na bila kutumia njia za udanganyifu ni msingi wa maadili na utawala bora katika jamii yoyote ile.
Katika dunia iliyojaa changamoto na mizani tata ya kimaadili, kukataa kutoa rushwa kunaweza kuonekana kama jaribio la “kuwakazia” wenye mamlaka, na mara...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe chochote katika Vituo vya Polisi.
Akiongea na Wakazi wa Kata ya Kamoge Wilayani Bukombe Mkoani Geita...
Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri Tanzania nzima.
Sasa chukulia kwa mfano halmashauri za Mkoa wa Lindi wakaamua kuungana na Mtwara...
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, inakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa elimu ya usalama wa kidigitali miongoni mwa raia wake. Hali hii inamaanisha kuwa watu wengi nchini hawana uelewa wa kutosha juu ya jinsi ya kujilinda na kuhakikisha usalama wao katika ulimwengu wa kidigitali...
digital rights
digital safety
governancegovernance2023
haki za binadamu
haki za kidigitali
ulinzi wa kidigitali
usalama wa kidigitali
utawala bora
watanzania
Kuahirishwa mara kwa mara kwa kesi ni moja ya sababu kubwa za kuchelewa kwa kesi za jinai nchini Tanzania. Hii pia ni moja ya sababu za kuwepo kwa idadi kubwa ya kesi zilizokwama mahakamani, ambazo husababisha watu kucheleweshewa haki zao.
Uhairishaji huo unaweza kusababishwa na sababu kama...
Imani ya Watanzania kwa taasisi za utoaji haki na utatuzi wa migogoro inaweza kutofautiana kulingana na uzoefu binafsi na mtazamo wa kijamii. Hata hivyo, kwa ujumla, kuna masuala kadhaa yanayojitokeza ambayo yanaweza kuathiri imani ya Watanzania katika taasisi hizo.
Watanzania wanategemea...
Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na inaathiri maeneo mbalimbali, ikiwemo sekta ya umma, miundombinu, afya, elimu, na biashara. Hali ya rushwa nchini inaweza kuelezewa kama changamoto inayosababisha ukosefu wa uwazi, upendeleo, na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
Rushwa inapunguza...
Rushwa katika mipango ya maendeleo ya mijini inaweza kuwa chanzo cha umaskini, ukosefu wa usawa, na ukosefu wa haki katika miji ya Afrika. Ingawa rushwa katika ngazi ya miji sio jambo jipya, inaonekana kuongezeka kadri viwango vya ukuaji wa mijini vinavyoongezeka duniani.
Hii ni dhahiri sana...
Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na ina athari mbaya kwa uchumi, maendeleo ya kijamii, na utawala wa sheria. Tanzania imeshuhudia matukio mengi ya rushwa katika miaka ya hivi karibuni, na taarifa zinaonyesha kuwa tatizo hili linaweza kuwa kubwa kuliko inavyofikiriwa.
Kwa mfano, ripoti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.