Mbunge Jumanne Kishimba, ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Elimu ya Juu, ametoa maoni yake Bungeni kuhusu hali ya mikopo ya elimu nchini. Maoni hayo yalikuja baada ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) kudai kushindwa kupata marejesho kutoka kwa waliokopa mikopo ya elimu na...