Wakuu wana Tech
Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu
Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi...
GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
Dunia ni uumbaji unao ishi na kupumua, uliozungukwa na nguvu zisizoonekana,
nguvu hizo ndizo zinaifanya dunia iendelee kuishi, na kuruhusu uhai na kuifanya iendelee kua hivi tunavyoiona kwa mamilioni ya miaka.
nguvu ya usumaku au ya uvutani wa dunia ( Earth's Magnetic field ) hutumiwa na ma...
Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how?
Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali.
Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining).
Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/=
Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
"Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini.
Chanzo: Jambo TV
===
Devotha Minja, ambaye alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
Na kenge,
Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani.
UTAFANYAJE?
Wizi wa vyombo ni tatizo kote duniani sasa kama ni Jobless na unatafta pakuanzia unaweza kutafta mtaji wa kuanzia LAKI 5 NA...
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano
---- Sehemu chombo kilipo
---- Mwendokasi wake
---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika
---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote.
Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia...
Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..
Zina sifa zifuatazo.
1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.
2. Ina Live location na live tracking.
3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.
4. Inahifandhi...
Ukitaka kufunga GPS tracker kwenye chombo chako mathalani gari....
Weka mezani lengo la kufunga tracker kwenye gari lako.
1. Je unahitaji kufunga tracker kwa ajili ya kufatilia mizunguko ya gari lako?
2. Au unahitaji tracker ya kukupa update ya location gari lako likiibiwa?
Kuna utofauti...
Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi...
TATIZO LA GPS KUISHA MUDA (GPS EXPIRE)
Je kifaa cha GPS ambacho unatumia kinakwambia GPS expire?
Je umeshindwa kulipia platform online unayotumia kwa ajili ya GPS yako
Je una kifaa cha GPS ambacho umeshindwa kukitumia kwasababu umekosa platform
Je wewe ni fundi na unamiliki vifaa vya GPS na...
Habarini wadau,
Naomba kuuliza inawezekana kuzima sabufa au tv ukiwa mbali kwa kutumia mfumo wa gps or GSM track ? Je nini kinahitajika hapa na je unaweza andaa enterface kama site fulani hivi kwa ajili ya kuvifuatilia na endapo kuna mtu anatumia kwa makubaliano fulani asipotimiza mashart...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.