Habarini za WAkati huu wakuu wangu Kuna Shule inaitwa GRAIYAKI SECONDARY SCHOOL IPO MUGUMU _SERENGETI MKOA wa MARA ni moja kati ya Shule nzuri sana kwa Olevel na primary ingia NECTA angalia matokeo yake utanielewa ni ONE NA A tyu matokeo yake ni nzuri kumpeleka mtoto wako sana sana
Maswali...