graphic card

  1. Joseph 44

    Naomba Mnisaidie Kujuzwa Kuhusu Gaming Pc Yenye Graphic Card Ya Gtx 1650 4 Gb

    Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX 1650 4 GB sasa nilikuwa nauliza hii gaming pc inaweza kucheza magame ya ps5 Maana hamu yangu ni...
  2. Mr Kazembe

    INAUZWA Nauza Graphic Card Nvidia RTX 2060 super 8GB

    Graphic Card Nvidia RTX 2060 Super 8gb Nauza Tsh 600000/= laki sita inacheza games zote wakuu niwewe tuu na wale watu wa 3d hii ni fursa kwako chukua piga kazi kwa uhakika 0657977457 📍Dar es Salaam
  3. Mr Kazembe

    INAUZWA Graphic card nauza 400k pia nafanya exchange na simu na pesa

    Graphic card: amd radeon rx 470 4GB Wale wapenzi wa games 3d & graphics basi hii kitu ni mwisho wa matatizo yako Bei 400000/= Karibu whatsapp number 0759377457 tembelea hapa kupata specification zake https://www.amd.com/en/products/graphics/radeon-rx-470
  4. chizcom

    Kwanini graphic card zina bei sana kuliko kompyuta?

    Leo nilikuwa nataka kuagiza kompyuta ni kaona kwanza niingie Kwenye mitandao kuuliza na kupata maoni kabla ya kununua. Kompyuta asilimia kubwa uwezo wake unategemea graphic card kwa maelezo niliyopata kwa sababu ndio kuitwa (GPU) graphics processing unit. Uwezo GPU ukiwa mkubwa na ndiyo...
  5. Senator jr

    Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

    Habari ya uzima wakuu, Naomba mnishauri wapi nitapata gpu nzuri na ikiwezekana mniambie ninunue toleo gani bajeti yangu 400k asante CHIEF MKWAWA
Back
Top Bottom