Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane.
Tukio la kwanza ni la ulawiti na udhalilishaji wa kingono ambalo limefanywa na Mkuu wa Shule hiyo...