greenhouse

  1. Drat

    Mwongozo Kilimo Cha Kisasa: Greenhouse

    Habari wadau? Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre. Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha na kuendesha mradi. Lengo ni kufanya shughuli hii katika maeneo jirani...
  2. M

    Greenhouse and Drip Irrigiation

    Kwa mahitaji ya kilimo cha kisasa na matokeo yaliyo bora. Yanapatikana kwenye mfumo wa kilimo cha umwagiliaji cha grrenhouse Kwa mahitaji ya greenhouse Call Us; 0623646674 Email;mooyasin97@gmail.com
  3. Lasway.Jr

    Je, ni zipi changamoto zinazowakumba wakulima wa Greenhouse? Eleza changamoto yako hapa upate suluhisho

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishughudia wakulima wengi wa greenhouse wakipata hasara au kutokupata mavuno bora kama walivyotegemea, kuendelea kutumia madawa ya kuuwa wadudu kwa kiasi kikubwa kama wanalima nje, joto kuwa kali ndani ya banda na kuharibu mazao, yaani wengi wamekata tamaa na...
Back
Top Bottom