Habari wadau?
Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre.
Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha na kuendesha mradi. Lengo ni kufanya shughuli hii katika maeneo jirani...