๐ Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda
๐ Kila nchi yafaidika na megawati 26.6
๐ Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda
Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha megawati 80...