Mwanamume mwenye umri wa miaka 26 nchini Wales amekamatwa baada ya mamlaka kusema alipanda juu ya paa la hospitali akiwa amevaa mavazi yanayofanana na “Grim Reaper” (Mtoa Roho) na akasimama kimya akiwaangalia wagonjwa, wageni na wafanyakazi kwa karibu saa moja.
Polisi wanasema Leon Gillespie...