grok

  1. snipa

    Tether USDT scam project Kuna siku tutalia sana, Grok AI kaipa red flag kwamba haiamini lakini anataka ni iamini, Je tether ni scam project ya USA?

    Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox. Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni scam project Kwa ninavyo amini Mimi. Lakini Leo nikaona nichart na Grok AI ya marekani. Kwanza...
  2. Eli Cohen

    Nimeiuliza AI hivi "Kama ungekuwa wewe ni shetani ni namna gami ungefanya ili umfanye mtu asifanikiwe?" Hivi ndivyo ilivyo nijibu.

    SOURCE: Grok. Ikiwa ningekuwa nikicheza nafasi ya adui mjanja kama Shetani, labda ningejaribu kuchafua kichwa cha mtu badala ya kutafuta kitu chochote cha kustaajabisha sana au dhahiri. Mafanikio mara nyingi hutegemea umakini, kujiamini, na kuendelea, kwa hivyo ningelenga sehemu hizo dhaifu...
Back
Top Bottom