group stage

  1. itakiamo

    Most Scored Goals in the Group Stage CAFCL

  2. S

    Dakika ya 24 tayari Bravos anaongoza mabao 2 0, Simba ihakikishe inashinda ugenini na haipotezi mchezo kama inahitaji kuvuka group stage

    Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu...
  3. itakiamo

    Biggest margin of victory in CAFCL Group Stage

  4. kiwatengu

    CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024

    The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT. Live Updates... https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk CAF CONFEDERATION CUP...
  5. D

    Nina wasiwasi Simba SC anaweza asifuzu hatua ya Makundi kwenye Kombe la Shirikisho mwaka huu

    here are my reasons after Al hilal Tripoli review. Al Hilal Tripoli might be considered better than the new Simba SC team: 1. Team Cohesion: Al Hilal Tripoli has had more time to build strong relationships and understanding among players. This cohesion often translates to better on-field...
  6. Mad Max

    World Cup Qualifiers | Group Stage Matches | Africa

    Leo kuanzia saa 4 kuna mechi nyingi sana za WC Qualifiers zinachezwa, kwa ngazi ya makundi. Sisi tulitakiwa tucheze na Elitrea Jumatatu tar 3 ila ilihairishwa. Hadi sasa mechi zilizopo: Guinea Bissau 0 Ethiopia 0 FT (hii ilikua mapema) Mali 1 Ghana 1 Senegal 1 DR Congo 1 Benin 1 Rwanda 0...
  7. Manyanza

    Matokeo bora zaidi Hatua ya Makundi ya CAF Champions League

    Kumbe hapo zamani Uto alishawahi pigwa 6-0 kwenye hatua ya makundi ?
  8. B

    Atletico FC d'Abidjan vs JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE

    Live 8 November 2023 Atletico FC d'Abidjan 1 - 2 JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE https://m.youtube.com/watch?v=zAmSCWF8XKI wenyeji wa michuano hii ya Champions League, nchi ya Ivory Coast timu yao Atletico FC d' Abidjan inacheza na JKT Queens ya Tanzania katika...
  9. Gordian Anduru

    Hesabu za group stage Simba Mara sita Yanga Mara Tano

    1998 Yanga group stage CafCl 2003 Simba group stage CafCl 2016 Yanga group stage CafCC 2018 Yanga group stage CafCC Misimu ya korona 2019 Simba group stage CafCl 2021 Simba group stage CafCl 2021/22 Simba group stage CafCC 2022/23 Yanga group stage CafCC 2022/23 Simba group stage CafCl...
  10. Gordian Anduru

    1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
  11. ESCORT 1

    FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

    Al Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa. Ni mchezo wa aina yake kwani Young Africans imefanikiwa kusafiri kwa kishindo cha mashabiki wengi mpaka jijini Kigali...
  12. GENTAMYCINE

    Kama Simba SC iliyocheza juzi na Kagera Sugar FC ndiyo itakayocheza hatua ya makundi CAFCL tunaenda kuiaibisha nchi

    Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC. Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za Kiuchunguzi nilizozifanyia Kazi nitaaziamini tena kwa 100%. 1. Posho za Wachezaji Kulimbikizwa huku...
  13. ninosi

    KUELEKEA HATUA YA MAKUNDI CAFCC: Nazionea huruma sana St. Eloi Lupopo na US Monastir

    Matokeo ya mechi (In Aggregate) za playoff za kuwania hatua ya makundi za CAFCC katika msimu wa 2022/23 ni kama ifuatavyo: Marumo Gallants 3-1 Al Ahli Tripoli CS Sfaxien 1-2 ASKO St Eloi Lupopo 1-0 RC Kadiogo Diables Noirs 6-2 La Passe Al Akhdar 4-4 Plateau United Club Africain 0-1 Yanga Future...
  14. GENTAMYCINE

    Je, wana Yanga SC baada ya Kufuzu hatua ya makundi CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la 'Losers'?

    "Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa kuwaheshimu", Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara. Nitashukuru sana mno wana Yanga SC wote (hasa hasa...
  15. Gordian Anduru

    Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  16. Utopologist

    2022/2023 CAF Champions League - Group Stage Draw

    Pot 1 Al-Ahly Wydad Espérance Raja Pot 2 Mamelodi Zamalek Horoya Petro Luanda Pot 3 Simba SC Belouizdad JS Kabyle Al Hilal Pot 4 Al Merrikh Cotton Sport Vipers AS Vita/ RC Kadiogo
Back
Top Bottom