group

  1. T

    Unawezaje kumuondoa Admin aliyetengeneza Group la whatsapp,

    Wakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana. Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe ndiye whatsapp group creator. Naombeni kufahamishwa wajuzi wa mambo Teknolojia ni Yetu sote
  2. The United states is not united but one group is, and that is jews group

    USA is the land of immigrants, they came from all over the world. When they were few it was normal, but now, as population increase, the expansion among communities is visibly noted. The only group that got the upper hand over everything is jews, they run almost everything, am confident to...
  3. Napinga kwa nguvu zote baadhi ya member humu kuwaona walimu kama "special group"

    Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti...
  4. Most Scored Goals in the Group Stage CAFCL

  5. M

    Amnesty International yasema Vikundi vyenye silaha vinavyofadhiliwa na Rwanda nchini DR Congo vinatumia silaha za maangamizi ya halaiki

    DR Congo: Rwandan-backed armed group and Congolese army must stop using explosive weapons in densely populated areas - Amnesty International FOR IMMEDIATE RELEASE Inaccurate explosive weapons with wide area effects used in densely populated areas more than 150 times in a seven-month period...
  6. Full Time: Stade D'abidjan 1- 3 Al Ahly | CAF Champions | group A

    Mpaka sasa Al Ahly keshabanwa vigololi vya mipira kwa bao 1-0. Stade Abidjan ambao ndio wanyonge wa kundi hilo wamemkamata koo Al-Ahly hapumui. Sasa hivi ni halfa time.
  7. S

    Dakika ya 24 tayari Bravos anaongoza mabao 2 0, Simba ihakikishe inashinda ugenini na haipotezi mchezo kama inahitaji kuvuka group stage

    Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu...
  8. Pave, Ayo Blog kwenye Group la Whatsapp la Moshi yetu, lengo lake ni nini?

    Fuatilia,tupe ushauri!
  9. Biggest margin of victory in CAFCL Group Stage

  10. 2097 nilivyo nusirika kuingia kwenye group la majambazi

    Hiyo nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salam. Twende kazi..... Huo mwaka 2097 nina rafiki kwa jina la James. Jame miaka hiyo ameajiriwa kwenye moja ya hotel zilizo bamba pale jijini Mwanza kwa jina la I.. Hotel. Nimeenda kumtembelea James kwa kazi yake kama tulivyo kubaliana jana...
  11. Ushawai tongozwa au kutongozwa kutoka group la wasp

    Wengi tuna magroup ya wasp ambayo mengine ya ovyo mengine ya heshima je katika hayo magroup ushawai tongozwa na mtu katika hayo magroup kwa wanawake au wanaume au ushawai kutongoza na wewe ulikuwa unajaribu tu baada ya kuona kama kuna wepesi fulani?
  12. Sifa za watu wa Blood Group O

    WATU WA BLOOD GROUP O WALIO WENGI Hawa ni watu wenye HASIRA na UBABE sana kwenye maisha yao hawa wwtu WATU WA O Hawa watu nawaita watu hekaheka (masafa) ukikuta O mchovu basi anatakuwa na changamoto za kiafya au KIMAUMBILE. Hawa wengi wana pumzi za PUMA na wana nguvu za Simba. Wao ni wewe...
  13. Tuhuma za rushwa: Total Energies yasimamisha uwekezaji ndani ya Adani Group

    Bilionea namba 2 India na namba 22 duniani Gautam Adani amepata pigo jingine baada ya kampuni ya Total Energies kusimamisha uwekezaji ndani ya kampuni zake. Hii ni kutokana na tuhuma za utoaji rushwa anazokabiliwa nazo kutoka Serikali ya Marekani. Je Tanzania ni sikio la kufa?? ==========...
  14. Clouds Media Group mnajidhalilisha

    Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bureee Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda...
  15. Clouds Media Group mnajidhalilisha

    Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bure kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form bure kabisa. Ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bure Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda ubalozi...
  16. Clouds Media Group mnajidhalilisha

    Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bureee Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda...
  17. Clouds Media Group mnajidhalilisha

    Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bureee Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda...
  18. Mahakama ya Juu yasitisha utekelezaji wa Mkataba wa Usambazaji Umeme kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group

    Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
  19. G

    Group la WhatsApp, kwa walimu wa kemia na biologia kwa maandalizi ya usaili.

    Link hii hapa https://chat.whatsapp.com/K6A6IZtd9yBEWTpoyGZRHu
  20. TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa TATA GROUP (Ratan Tata) afariki dunia

    Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga. Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…