group

  1. Matokeo bora zaidi Hatua ya Makundi ya CAF Champions League

    Kumbe hapo zamani Uto alishawahi pigwa 6-0 kwenye hatua ya makundi ?
  2. B

    Atletico FC d'Abidjan vs JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE

    Live 8 November 2023 Atletico FC d'Abidjan 1 - 2 JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE https://m.youtube.com/watch?v=zAmSCWF8XKI wenyeji wa michuano hii ya Champions League, nchi ya Ivory Coast timu yao Atletico FC d' Abidjan inacheza na JKT Queens ya Tanzania katika...
  3. N

    Shot in the Arm for Tourism as International Hospitality Group Inks a Management Deal with Nairobi Safari Club

    Partnership: Mukawa (Hotels) Holdings Ltd Directors Ms Clare Njeri Githunguri (left) and Ms Lilian Joy Nyagaki Githunguri (right) exchange the hotel management agreements with Swiss-Belhotel International’s Senior Vice President Laurent Voivenel (centre) at the signing of a deal for the...
  4. Jadon Sancho aondolewa kwenye Group la WhatsApp la Man United

    Winga Jadon Sancho ambaye yupo nje ya kikosi cha kwanza cha Manchester United kutokana na kutokuwa na uhusiano mzuri na Kocha wake, Erik ten Hag ameondolewa katika Kundi la Wachezaji la timu hiyo kwenye Mtandao wa WhatsApp hali inayoonesha uwezekano wa kurejea kikosini ni jambo gumu Gazeti la...
  5. Various Posts at Davis & Shirtliff Group October, 2023

    Description The Davis & Shirtliff Group is the leading supplier of Water and Energy solutions in the region supplying products in various segments including water pumps, borehole service, solar, swimming pools, irrigation, water treatment, waste water treatment, water lab equipment and...
  6. Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

    Wakuu hebu tujibu hili swali, Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu? Kama unajua litaje. Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha yetu. Kuangalia (kucheck) ni gharama ndogo sana. Btw who is your blood group partner here JF...
  7. Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

    Hutaki unaacha , lakini huu ndio ukweli halisi , Nikiwa ka Mtanzania kwenye kundi hili Yanga havuki , hapo ndio Mwisho . Pichani : ni mtoto mdogo akiizomea Yanga ilipofungwa na Ihefu
  8. Kuna Group Linajiita JamiiForums linapotosha Umma

    Wahusika chukueni hatua za kisheria dhidi ya group lililopo FB linalojiita JamiiForums. Group hilo Linatumiwa nawatu wenye nia mbaya kuchonganisha watu na taasisi private na hata kuupotosha umma. Uongozi wa JamiiForums chukueni hatuza kwani watu wengi hudhani kuwa Nyie ndiyo mnamiliki Hilo...
  9. Hesabu za group stage Simba Mara sita Yanga Mara Tano

    1998 Yanga group stage CafCl 2003 Simba group stage CafCl 2016 Yanga group stage CafCC 2018 Yanga group stage CafCC Misimu ya korona 2019 Simba group stage CafCl 2021 Simba group stage CafCl 2021/22 Simba group stage CafCC 2022/23 Yanga group stage CafCC 2022/23 Simba group stage CafCl...
  10. 1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
  11. FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

    Al Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa. Ni mchezo wa aina yake kwani Young Africans imefanikiwa kusafiri kwa kishindo cha mashabiki wengi mpaka jijini Kigali...
  12. Director of Disaster Recovery Financing Solutions, Inclusive Finance Group at World Vision

    Position: Director of Disaster Recovery Financing Solutions, Inclusive Finance Group Contract Type: Local – Fixed Term Employee (Fixed Term) Key Responsibilities Develop financial inclusion projects linked to cash transfers and other humanitarian responses and recovery efforts, as well as...
  13. Group Jipya la wana-CCM kuelekea uchaguzi ujao, watu wamechafukwa

    Dr Kesho: Naomba kutoa Shukrani kuniunga Huku ila kwasasa sihitaji kuwa magroup yoyote ya Kisiasa Wala kijamii Sitaki Siasa. Mwenyekiti aliyepita: Samahani ndugu zangu, Mie siyo mwanachama wa CCM hivyo sina sababu ya kuwepo humu kwenye mambo ya CCM yenu. Katibu tawi: Sas mimi kwa upande wangu...
  14. Operations Deputy Manager (m/f) at LSG Sky Chefs Group

    Position: Operations Deputy Manager (m/f) Requirements: University Graduation (MSc/MBA) concluded. Prior work experience in a similar function of min. 3-4 years. Strong capacity to work under pressure; multitasking. Project management skills. Dynamism, proactivity, and organizational skill...
  15. Niger waomba msaada kwa Wagner group

    Skip links Skip to Content LIVE News Niger’s military rulers ask for help from Russian group Wagner The new military government seeks help from Wagner mercenaries against ECOWAS intervention, according to a news report. The streets of Niamey, the capital of Niger, days after the coup [File...
  16. Nafasi za kazi Lodhia group of companies, mwisho wa maombi ni Augusti 11, 2023

    EMPLOYMENT OPPORTUNIES AT LODHIA GROUP OF COMPANIES Lodhia Industries is one of the leading and fastest growing steel & plastic manufacturers inTanzania and is currently operating out of two locations, Dar-es-salaam and Arusha. Since thefoundations of the company laid back in 1996, Lodhia...
  17. Nani Ana ufahamu na IHC GROUP ?

    Katika pita pita zangu kutafuta ajira huko LinkedIn, nimekutana na hili shirika limeweka job post, kwenye Tangazo wameandika kazi itafanyika kapiti-singida lakini nilipoenda kwenye website yao wameandika ni New Zealand Nafasi ya kazi ni Mental Health Support Worker - Paraparaumu, Kapati...
  18. Tahadhari za kuzingatia kwa watu wanaokwenda kwenye mkesha wa chako ni chako Kawe

    Ni tahadhari tu, kutokana na wingi wa watu leo lazima kenge wamo ingawa ni vigumu kuwajua. Kwa wale mnaoenda mkesha wa chako ni chako kawe leo: 1. Usalama wako uanzie kwako mwenyewe. 2. Ukiwa na begi lolote usiamini mtu wa pembeni yako. 3. Unapoenda haja hakikisha uko na begi zako. 4...
  19. Putin kuifuta Wagner group

    Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa options tatu Askari wa warger 1: kurudi nyumbani Yani kuachana kabisa na shughuli za kijeshi 2...
  20. Sababu iliyowapelekea Wagner group kuasi

    Mimi binafsi yale nayaita maandamano sio uasi. Sababu kubwa iliyowapelekea Wagner kuasi ni shutuma zao Kwa wizara ya ulinzi ya Russia kudhohofisha operation. Prigozhin anamlaumu Sergei Shoigu (waziri wa ulinzi ) Kwa madai ya kuagiza Kwa Siri kulipuliwa Kwa baadhi ya kambi za Wagner Wagner...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…