gsm mdhamini yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SAYVILLE

    Tajiri Hersi Said anaisaidia Yanga kwa mapenzi yake

    Maisha yanaenda kasi sana. Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM. Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka yoyote kuwa yeye hapokei hata shilingi 100 kutoka pale Deportivo la Utopolo. Akasema yeye status yake...
  2. GENTAMYCINE

    Kamwe sitounyamazia huu Upuuzi wa baadhi ya Mashabiki Wenzangu wa Simba SC kuwa GSM imedhamini Vilabu Saba NBC hivyo itapanga Matokeo

    Sasa kama mnajua kuwa GSM ambao ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC na kwamba itasababisha Fikra zenu za Kipumbavu kuwa kutakuwa na Upangaji wa Matokeo (Match Fixing) pale Yanga SC ikicheza na hivyo Vilabu Saba ( 7 ) sasa kwanini nanyi / nasi pia tusimwambie Tajiri yetu Tapeli na Muongo nae...
  3. kavulata

    Simba haina udhamini wa GSM lakini imefungwa na Yanga pia, hii ikoje?

    Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga. Huku ni kupenda timu yako bila kupenda mpira wenyewe. Simba, Azam, KMC, Mashujaa, zimefungwa na Yanga ingawa hazina udhamini wa GSM...
  4. Carasco Putin

    Je ni sahihi kwa mdhamini na mwendeshaji wa klabu moja kudhamini vilabu vingine?

    Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoni😡
  5. B

    Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair

    GSM Kudhamini timu nyingine saba za Ligi kuu siyo FAIR. Kinachotakiwa kwa Sasa ni timu nyingine kushitaki FIFA. Barbara Gonzalez alipambana na Hilo na akafanikiwa. Hivi Mwenyekiti wa Simba ana shida gani? Mbona halaumu kuhusu Hilo suala. CEO wa Simba mbona halisemei Hilo? Msemaji wa Simba...
  6. BabuKijiko

    Leo utakuwa pande zipi kuenjoy na kuitazama Yanga katika kilele chao cha wiki ya Mwananchi?

    Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa...
  7. Mkalukungone mwamba

    Yanga SC walamba dili kutoka GSM, Wasaini mkataba wa bilioni 1 kwa miaka 5

    Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC. Tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu ya Yanga SC, na mkataba huu una thamani ya Tsh bilion 1” Benson Mahenya CEO wa GSM...
Back
Top Bottom