gsm mdhamini yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania FIFA wachunguze match fixing baina ya Yanga dhidi ya timu zinazodhaminiwa na GSM

    Nadhani ni wakati sasa vyombo vinavyosimamia soka nchini kuomba msaada kutoka FIFA ili mechi za hii timu zichunguzwe. Tunatamani soka lichezwe kwa kufauata sheria na kanuni za soka.Haitakuwa sawa timu moja kupanga matokeo na baadhi ya timu na au janja janja za kuinunua timu inayoonesha upinzani...
  2. JamiiForums Tanzania Tajiri Hersi Said anaisaidia Yanga kwa mapenzi yake

    Maisha yanaenda kasi sana. Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM. Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka yoyote kuwa yeye hapokei hata shilingi 100 kutoka pale Deportivo la Utopolo. Akasema yeye status yake...
  3. JamiiForums Tanzania Kamwe sitounyamazia huu Upuuzi wa baadhi ya Mashabiki Wenzangu wa Simba SC kuwa GSM imedhamini Vilabu Saba NBC hivyo itapanga Matokeo

    Sasa kama mnajua kuwa GSM ambao ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC na kwamba itasababisha Fikra zenu za Kipumbavu kuwa kutakuwa na Upangaji wa Matokeo (Match Fixing) pale Yanga SC ikicheza na hivyo Vilabu Saba ( 7 ) sasa kwanini nanyi / nasi pia tusimwambie Tajiri yetu Tapeli na Muongo nae...
  4. JamiiForums Tanzania Simba haina udhamini wa GSM lakini imefungwa na Yanga pia, hii ikoje?

    Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga. Huku ni kupenda timu yako bila kupenda mpira wenyewe. Simba, Azam, KMC, Mashujaa, zimefungwa na Yanga ingawa hazina udhamini wa GSM...
  5. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa mdhamini na mwendeshaji wa klabu moja kudhamini vilabu vingine?

    Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoni😡
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair

    GSM Kudhamini timu nyingine saba za Ligi kuu siyo FAIR. Kinachotakiwa kwa Sasa ni timu nyingine kushitaki FIFA. Barbara Gonzalez alipambana na Hilo na akafanikiwa. Hivi Mwenyekiti wa Simba ana shida gani? Mbona halaumu kuhusu Hilo suala. CEO wa Simba mbona halisemei Hilo? Msemaji wa Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Leo utakuwa pande zipi kuenjoy na kuitazama Yanga katika kilele chao cha wiki ya Mwananchi?

    Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga SC walamba dili kutoka GSM, Wasaini mkataba wa bilioni 1 kwa miaka 5

    Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC. Tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu ya Yanga SC, na mkataba huu una thamani ya Tsh bilion 1” Benson Mahenya CEO wa GSM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…