gsm

The Global System for Mobile Communications (GSM) is a standard developed by the European Telecommunications Standards Institute (ETSI) to describe the protocols for second-generation (2G) digital cellular networks used by mobile devices such as mobile phones and tablets. It was first deployed in Finland in December 1991. By the mid-2010s, it became a global standard for mobile communications achieving over 90% market share, and operating in over 193 countries and territories.2G networks developed as a replacement for first generation (1G) analog cellular networks. The GSM standard originally described a digital, circuit-switched network optimized for full duplex voice telephony. This expanded over time to include data communications, first by circuit-switched transport, then by packet data transport via General Packet Radio Service (GPRS), and Enhanced Data Rates for GSM Evolution (EDGE).
Subsequently, the 3GPP developed third-generation (3G) UMTS standards, followed by the fourth-generation (4G) LTE Advanced and the fifth-generation 5G standards, which do not form part of the ETSI GSM standard.
"GSM" is a trade mark owned by the GSM Association. It may also refer to the (initially) most common voice codec used, Full Rate.
As a result of the network's widespread use across Europe, the acronym "GSM" was briefly used a generic term for phones in France and in Wallonia, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

    Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC. Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI. Credit: Nassib Mkomwa
  2. GSM ameahidi bonasi ya TSh. milioni 500 endapo Yanga itashinda dhidi ya Simba

    Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi.
  3. Kampuni ya GSM inapata Faida gani Kubwa kiasi kwamba kila mara inatoa Misaada ya Fedha na Kampuni zingine kama MeTL haziwezi na hazitoi Misaada?

    Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua?
  4. GSM akiacha kudhamini timu nyingine Yanga itakuwa timu hatari zaidi

    Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja. TFF kubalini pendekezo la makolo haraka, wanahamu ya kupigwa 5+ mara kwa mara.
  5. Mo Dewji, msimu ujao tenga milioni 500 za ubingwa, baada ya hapo Yanga na GSM hawatakusumbua tena

    Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji. Tajiri, nina neno moja kwako. Msimu huu umefanya mambo makubwa sana pale Simba. Kikosi kinaeleweka, heshima inarudi katika ligi ya ndani na kimataifa. Kuna uhuni mmoja ambao nafahamu unaujua maana malalamiko haya yamekuwepo kwa...
  6. Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
  7. M

    Leo nawapa Siri kwanini Yanga anaziangamiza sana timu zenye udhamini wa GSM na ataendelea kuziangamiza

    Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana. Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30 mfululizo msiposhtuka, alikuwa na maana yake kubwa, kwamba kwa mikakati waliyoiweka kwenye timu...
  8. Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  9. Hizi timu ni familia ya GSM na Yanga.

    1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅ 2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅ 3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅ 4. KMC (Familia) ✅✅ 5. Prisons (silent ocean) ✅✅ 6. Coastal (GSM) ✅✅ 7. Mashujaa (GSM) ✅✅ 8. Singida (Familia) ✅✅ 9. Namungo(GSM)✅✅ Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga...
  10. Ujanja ujanja wa GSM kwenye ligi anauleta mpaka TRA na bandarini

    GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu. Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home...
  11. Electrical Engineer at GSM February 2025

    Position: Electrical Engineer Unit: Projects & Property Reporting to: Project Engineer Duty Station: Dar es Salaam KEY JOB PURPOSE The role is responsible for the design, implementation, and maintenance of electrical systems within various properties and projects. The role will ensure that all...
  12. GSM ipewe vilabu vyote kudhamini ili Yanga iwe team bora katika Ligi

    Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa. Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams...
  13. M

    Sasa lawama kwa GSM na kujidunga sindano zitaanza rasmi

    Kuanzia sasa Hawa wajukuu wa Rage wataanza zile kauli zao pendwa za GSM anaharibu ligi na SINDANO. Uzi tayar
  14. Tetesi: Patrick Aussems almaarufu Uchebe aonekana ofisi za GSM

    Haijajulikana amefuata nini. Ila watu wachawi sana,mmemsagia kunguni mwenzenu kuwa hafiki pasaka na hajafika kweli ilaCV yake imeboreahwa Soma Pia: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi
  15. M

    Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

    Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia...
  16. Huyu Tajiri huko CCM ana nafasi gani?

    Ni Gharib Said Muhammad (GSM) Naomba wana jamvi nisaidie huyu Tajiri ana cheo/nafasi gani kwenye Chama? Saa nane mchana alikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM saa 10 yupo Dar uwanjani hii inawezekanaje ? Cc Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable milele amina Lucas Mwashambwa johnthebaptist
  17. Wanasimba waanza kumlaumu GSM anaharibu ligi ya mabingwa CAF Champions League

    Baada ya Al hilal ya ibenge kula kichapo kizito kutoka Kwa mabingwa wa kihistoria young Africans Wanasimba wameandamana kwenye vyombo vya habari plus mitandaoni wakimtuhumu GSM Kwamba ameanza kuharibu ligi ya mabingwa Baadaya kuonekana kumshawishi ibenge aibebe Yanga Soma Pia: Full Time: AL...
  18. Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Great thinkers. Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania. Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...
  19. Gusa, achia,twende kwao yaanza kuwapagawisha watu,milio ya GSM anaharibu ligi imeanza upya

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakati wenzao wakifungua mabox ya zawadi Leo,upande wa pili wao wamefungua midomo na kutoa milio ambayo Kwa takribani siku kadhaa haikuwepo baada ya mabingwa wa nchi Young Africans Kuwa na mwenendo mbaya katika ligi kuu ya NBC pamoja na Ile michuano ya...
  20. M

    Yanga inarudi kwa kasi ya Kimondo: Hivi punde zile kelele za GSM anaharibu Ligi zitarudi, wanautwanga si mchezo!

    Naona kabisa kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu, hawawezi kusema lakini wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya Yanga hii inayorudi kwa kasi ya kimondo! Yanga wanautwanga, wanakasi, wanagusa, wanaachia, wanakuja kwako. Ni mabadiliko makubwa ambayo kocha Ramovich ameanza kuyaonyesha. Timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…