gsm

The Global System for Mobile Communications (GSM) is a standard developed by the European Telecommunications Standards Institute (ETSI) to describe the protocols for second-generation (2G) digital cellular networks used by mobile devices such as mobile phones and tablets. It was first deployed in Finland in December 1991. By the mid-2010s, it became a global standard for mobile communications achieving over 90% market share, and operating in over 193 countries and territories.2G networks developed as a replacement for first generation (1G) analog cellular networks. The GSM standard originally described a digital, circuit-switched network optimized for full duplex voice telephony. This expanded over time to include data communications, first by circuit-switched transport, then by packet data transport via General Packet Radio Service (GPRS), and Enhanced Data Rates for GSM Evolution (EDGE).
Subsequently, the 3GPP developed third-generation (3G) UMTS standards, followed by the fourth-generation (4G) LTE Advanced and the fifth-generation 5G standards, which do not form part of the ETSI GSM standard.
"GSM" is a trade mark owned by the GSM Association. It may also refer to the (initially) most common voice codec used, Full Rate.
As a result of the network's widespread use across Europe, the acronym "GSM" was briefly used a generic term for phones in France and in Wallonia, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi msg za mitandao sijui offer gani mara sijui bet ganj kina mo GSM kina SSB wanatumiwa kweli

    Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au...
  2. Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

    Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda. Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na...
  3. Makonda angefanya haya kumalizana na GSM, ni darasa la bure kwa watu wote

    Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo bado lipo na halijafikia tamati. Makonda analalamika kuwa amedhulumiwa eneo na mjengo wake eneo...
  4. Kupenyezwa kwa Yanga kwenye siasa ni issue ya GSM na Makonda?!

    Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa sahihi nikisema GSM ameamua kuitumia Yanga kujipenyeza na kumpigia kampeni mama Samia ili kupata...
  5. Kwa videos zile mbili MO Dewji na GSM wakipiga danadana, nazidi kuthibisha simba tunapigwa kweupe

    Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli. Tukija kwa tajiri yetu MO...
  6. Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania

    Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania Ndani ya Jiji la Dar es Salaam kuna mnyukano. Ni baina ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohammed (GSM). Wanagombea ardhi. Makonda analalamika kuwa GSM anataka kumdhulumu mali yake. Wakili wa...
  7. TAKUKURU yaingilia kati sakata la Makonda na GSM. GSM aliripoti hati ya kiwanja kupotea

    Serikali imesema inalichunguza sakata la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) la kugombea kiwanja Na.60 kilichopo Regent Estate Manispaa ya Kinondoni jijini hapa. Akizungumza mwisho wa wiki iliyopita, Wakili wa GSM, Alex Mgongolwa...
  8. Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

    Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo. Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
  9. Elimu ya ardhi mgogoro wa Makonda na GSM

    Adv. Taslima Kaijage +255 715 / 784 / 774 - 161820 1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja kadri uwezavyo. Wengi mkinunua kwasababu hakuna anayekulazimisha kufanya transfer kwa haraka basi...
  10. Baada ya kiwanda kuwaka moto GSM wasema “Tumepata hasara kubwa sana, hakuna kilichosalia"

    Muda mfupi baada ya moto kuwaka katika Kiwanda cha GSM Industrial kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa kiwanda hicho, Salaah Mohamedi amesema wamepata hasara kubwa kutokana na moto huo uliowaka leo Jumapili Machi 13, 2022. "Chanzo hatujui hadi sasa, nilipigiwa simu saa 12...
  11. Mwenye picha ya nyumba inayogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee

    Mwenye picha ya ghorofa aka hekalu linalogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee Ova.
  12. Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea. --- Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa. Soma >...
  13. Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
  14. Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

    Leo Machi 12, 2022 Wakili wa Kampuni ya GSM, Alex Mgongolwa amefanya mkutano na Waandishi wa habari kuanzia saa 6 kamili Mchana, GSM HQ Salamander Tower Samora Avenue. ==== Kilichojiri, full text: ====== Mwanasheria: Huu hapa ndiyo uthibitisho, nimesema ni kielelezo namba moja, mteja wangu...
  15. Yanga na GSM waitapeli Mtibwa Sugar

    MTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI "Yalifanyika makubaliano ya pande mbili tukiamini Yanga ni watu wazima na watatelekeza mkataba unavyosema, lakini mpaka sasa hakuna hata moja lililofanyika. Tangu January mpaka sasa hatujaona kitu. Mbaya zaidi Mawasiliano yetu...
  16. Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

    Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa! hii si sawa kabisa, Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima . Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani...
  17. GSM pamoja na Kupigiwa Magoti na TFF dhaifu ya Rais Karia ili mrudi na mnarudi kweli, jueni kuwa Simba SC hatutovaa Nembo yenu

    Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu. Tunajua kuwa muda wowote GSM mnarejea kuendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League baada ya Kupigiwa Magoti...
  18. TANZIA Mzee Said Mohamed (baba yake GSM) afariki dunia

    Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo Machi 1 2022 na anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. Marehemu Mzee Said ni Mfanyabiashara wa muda mrefu Tanzania ambapo alianzisha...
  19. Aibu!! Simba hawakupiga shoot lolote kwa hata offside opponent wao

    Makolo hasara kwa taifa, naomba watoe lile neno la visit Tanzania. Haiwezekani timu tumeituma kuwakilisha taifa wanachezewa Kama vile Aibu zilizotokea Leo kwa makolo Shoot kipindi cha Kwanza makolo ....total shoot 0 Rs berkane ....total shoot 10 Ball possession SIMBA: 33% Rs berkane 67%...
  20. Yanga wanajua hizi Sh bilioni 5+ wanazokusanya GSM? Propaganda za Haji Manara zinaamsha wengi

    Simba walisaini mkataba na Vunja Bei wenye thamani ya shilingi bilioni 2 kwa miaka miwili, ikiwa na maana kuwa kila mwaka au kila msimu Simba wanaingiza bilioni moja katika mauzo ya jezi. Sina kumbukumbu za hivi karibuni na nimejaribu kutafuta lakini sijapata kama Yanga na GSM waliwahi kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…