Miaka ishirini imepita tangu kuachiliwa kwa GTA San Andreas, moja ya michezo inayopendwa na kuheshimiwa zaidi katika tasnia ya michezo ya kielektroniki. GTA San Andreas ilibadilisha standard ya Video games, ikichanganya uhalisia wa dunia, hadithi ya kusisimua, na uhuru wa kuchunguza mazingira...