guard

The King's Guard (called the Queen's Guard when the reigning monarch is female) are sentry postings at Buckingham Palace and St James's Palace, organised by the British Army's Household Division. The Household Division also mounts sentry postings at Horse Guards, known as the King's Life Guard (called the Queen's Life Guard when the monarch is female).
An infantry contingent, typically one of the Household Division's five regiments of foot guards, mounts the King's Guard, while the King's Life Guard is usually provided for by the Household Cavalry Mounted Regiment. Since the 20th century, several other British Army units, Royal Air Force units, Royal Navy units, and military units from other Commonwealth countries have been invited to form the King's Guard.
In addition to the King's Guard, the Household Division also provide for several other sentry postings including the Tower of London Guard and the Windsor Castle Guard. Several sentry postings are also occasionally mounted at the Palace of Holyroodhouse, the sovereign's residence in Edinburgh. Although the Household Division considers these other sentry posts as distinct postings from the King's Guard, colloquially, these postings have also been called the "King's Guard."

View More On Wikipedia.org
  1. Polisi Songwe: Hatujapokea malalamiko ya Green Guard kutishia Wapiga Kura kwa Mapanga

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga amezungumza na JamiiForums na kueleza kuwa hawajapokea malalamiko yoyote kutoka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu Wanachama wao kutishiwa kwa mapanga katika Vituo vya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  2. LGE2024 CHADEMA Songwe: Green Guard walienda na mapanga kwenye Vituo vya Kupigia Kura kutisha Wanachama wetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu. ===================== Taarifa ya...
  3. LGE2024 Kada wa CHADEMA - Tunduma adaiwa kushambuliwa na kuuawa na Green Guard

    Taarifa iliyotolewa na Mwanachana wa CHADEMA, Hilda Newton imeeleza kuwa kada wa chama hicho katika mji wa Tunduma, Steve Chalamila amevamiwa nyumbani kwake na kuuawa na wanaodaiwa kuwa Green Guard. Amendika kupitia mtandao wa X "tumepata msiba mkubwa Kamanda wetu Stivu Chalamila ameuwawa...
  4. Q

    Kazi ya Green Guard ni nini, mbona hivi vikundi vilishapigwa marufuku?

    Hivi vikundi vilipigwa marufuku na serikali lakini CCM bado inavitumia, ukifuatilia kwa undani zaidi unaweza kuta ndivyo vinavyotumika kwenye matukio mengi ya utekaji na uhalifu nchini na kulindwa na vyombo vya dola.
  5. Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata...
  6. Wanajeshi mlioko hapa JamiiForums tafadhali naomba neno sahihi la Kiswahili la 'Quarter Guard' nitawashukuruni sana

    Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia. Asanteni Maafande.
  7. Guard Your Personal Information

    Guard Your Personal Information 1. Don't share your home address on social media. 2. Avoid posting your phone number publicly. 3. Refrain from disclosing your daily routines online. Reality is... 1. Not everyone will respect your privacy. 2. Your personal information can be exploited for...
  8. G

    Nchini Namibia, mshahara wa security guard ni mkubwa kuliko wa profesa UDSM

    Nchi ya Namibia imefanya mambo makubwa sana, mpk unajiuliza Tanzania tulikosea wapi siye? Nadhani tumefika hapa kwasabb ya siasa chafu na uongozi mbovu. Namibia ina rasilimali gani za kuizidi Tanzania hadi wao wawe mbali kiasi hiki? 1. Wazee wanalipwa. 2. Walemavu wanalipwa. 3. Matibabu kwa...
  9. Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…