DUDU WASHA 1 Episode 1-4
-UTANGULIZI-
Ni mwalimu mkuu wa kike katika shule ya msingi Tundu aliyefahamika kwa jina la Walda Nyaongo,,shuleni hapo alikuwa akiwafundisha somo la hesabu darasa la saba,,,akiwa anasahihisha madaftari ya wanafunzi ofisni kwake,,,kwavile ofisi yake ilikuwa karibu na...