Heshima kwenu washikadau
Embu kwa wenye uzoefu tutajiane Guest House za bei nafuu kwa hapa Dar hasa maeneo ya Sinza na Manzese na hata maeneo mengine
Bei kuanzia 10k,15k au 20k
Karibuni
Kichwa cha uzi kiko wazi!
Nimepata teteleko la kimaisha upande wa uchumi. Naombeni mnitajie Nyumba za kulala wageni kwa pesa kiasi cha shilingi elfu nne au chini ya hapo kwa hapa Dar!
Asanteni!
Mwenye kibarua naomba tuwasiliane pia.
Guest house inauzwa buguruni sokoni.
Zipo 2, zote zinauzwa million 120.
Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838
Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi