Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kupitia Kamati yake ya Nidhamu, limetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Shirikisho la soka la Guinea (FGF) kufuatia kushindwa kwao na Tanzania katika siku ya mwisho ya mchujo ya kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2025.
Guinea iliangazia ukiukwaji wa taratibu za...
Wakati tunafurahia matokeo haya, tujiulie: je, ilikuwa sahihi kwa refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa?
Wachambuzi tusaidieni na wote tuweke ushabiki pembeni.
All In all, hongera Taifa Stars maana hata Yanga goli lao lilikataliwa Mamelodi akabebwa. Mungu ametulipa watanzania.
Soma Pia...
Huwa ninaona kwenye mechi za caf mabingwa na shirikisho kuna zawadi ya pesa taslim kwa kila goli linalofungwa kwa timu kama Yanga, Simba, Azam, n.k.
Kwenye mechi za taifa stars hio zawadi ipo?
Soma Pia:
FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny...
UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO) Tanzania VS Guinea.
Katika viwango vya FIFA vinaonyesha Guinea ipo katika nafasi ya 77 na Tanzania tukiwa nafasi ya 113.
Mechi hii imechezewa Ivory Coast ikiwa Guinea ndio wenyeji wa mchezo huo, kwa sababu Guinea hawana kiwanja kinachokidhi...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewapongeza na kuwatakia kila la heri Taifa stars katika ushindi mnono walioupata katika mechi ya leo.
Na huu ndio ujumbe wake
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia...
Niwapongeze stars Kwa ushindi wa bahati tu
Team imeshinda ila ndo hivo maajabu ya mchezo wa soka. Team dhaifu inaweza kushinda dhidi ya team Bora kabisa
Sisi tusiopumbazwa na ushindi wa ngekewa tunakosowa yafuatayo.
1 Eneo la goal keeper
Sio GK mzuri, hajui kuji position, Haiti mabeki yupo...
Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.
Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.