huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo nilikuwa nikikosea kwenye matumizi.
Ili kujitakasa kwa kutumia chumvi inatakiwa uogee sehemu isiyokuwa...
Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao.
So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
Gundu ni...
Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂
Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza kupiga kelele bafuni😂😂😂
Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu
Ile unatoka nje ndege anapita...
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X
Pia itakumbukwa Starlink kampuni ya mtandao ya Elon Musk imeshindwa kupata kibali cha kufanya kazi Tanzania ikesemwa na Nape...
GUNDU LA ADDIS ABABA
Nina bahati mbaya na Ethiopia.
Hili la sanamu halinishangazi
Mara ya kwanza kufika Addis Ababa ilikuwa mwaka wa 1989 mwezi December kuelekea Christmas.
Mwaliko wangu ulikuwa unatokea Nairobi nimetumiwa telex nikachukue tiketi Ethiopian Airways (EA).
Mkosi ulianza siku...
Kipindi cha JK, hadi watoto wa primary waliandamana eti nao wanadai haki yao, wanavyuo, vyama pinzani, mpaka wabadini nao waliandamana kudai haki zao
Inashangaza sana
Nakumbuka 2013 nilikuwa kwenye viunga vya Bagamoyo, na kipindi hiko mgao wa umeme ulikuwa umepamba moto sana kiasi cha wananchi...
Jana kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche amemuacha tena kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Feitoto' na Jonas Mkude kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Sudan.
Hii inakuwa mara ya pili mfululizo kwa Feitoto kuachwa na Amrouche akitangulia kukosa mechi dhidi ya Niger na Algeria, wakati Taifa Stars...
Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si...
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.
Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But...
Wanajamvi niaje?
Bana bana kwenye harakati za huku na kule si ikanikuta crush na manzi white ya ki shua, mtoto ana drive vanguard. Mitaa ya Kijitoyama anatoka kwenye packing nikajitolea kumuelekeza maana kama alikuwa anapata tabu jinsi ya kutoka baada ya hapo akanishukuru sana, akaomba apate...
Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado...
Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.
Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa.
Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo...
Huyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu.
Mimi nadhani huyu mwamba katuletea bundi, bora asepe tu tumrudishe Manara hata kama hatumpendi.
Update...
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.
Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda...
Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!
Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!
Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.
Huenda analo...
Habarini wana JF
Nilikua namikasa isiyo elezeka kama ifuatavyo:
Mwaka 2017 - nilikutana na mdada flan nkamtongoza akakubali lakin tulikuaja kuachana cz alinikaushia. Mwaka huohuo tena nikaopoa katoto kakanipenda sanaa lakin nkajakugundua kua anamasela wengi mwishowe nayeye akamua kunikaushia...
MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo.
Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.