Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe...