habari mchanganyiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

    Jeshi la Polisi jijini Mbeya limewakamata watu watano akiwemo Meneja wa LBL Mbeya kwa kosa la kuendesha mchezo wa upatu bila kuwa na kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania kama sheria zinavyoelekeza. Soma pia: Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa saba wa LBL kwa tuhuma za biashara haramu ya...
  2. KENGE 01

    Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?

    Salaam Wakuu. Katika Hii dunia kila mtu anajambo/Mambo/kazi anayofurahia kufanya.Binafdi ninamambo kadhaa ila hiki nilichokifanya nimejikuta mimi mwenyewe najipiga kifua nasema Hapa nimefanya jambo kubwa linalostahili pongezi Lakini, Je! Nastahili pongezi kwa hiki nilichokifanya? Twende...
  3. Movic Evara

    Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

    Erling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi. ➜ 69 - Games. ➜ 70 - Goals scored. Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia waliofunga Hat-tricks back to back mara mbili katika ligi kuu ya England (EPL) 🙌 Harry Kane : ⚽⚽⚽ vs Burnley...
  4. Movic Evara

    Jordan Bardella tishio kwa Rais Macron

    Uchaguzi wa bunge la ulaya umemalizika jana kwa raia kutoka nchi 27 kupiga kura kuchagua wabunge watakaowawakilisha katika bunge la ulaya ambapo vyama vya siasa vya mrengo wa kulia vimeonekana kufanya vizuri. Nchini ufaransa, chama cha mrengo wa kulia cha “National Rally, NR” kimefanya vizuri...
  5. Movic Evara

    Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu

    "Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club". ©️ Peter Andrew. Afisa habari wa Singida Black Stars kupitia Bongo FM (TBC fm). Credit: Tom Cruz
  6. Movic Evara

    Kocha Mamelodi: Hatustahili tunachokipata kwa mashabiki

    Kuelekea mechi dhidi ya Yanga SC "Kwa aina yetu ya uchezaji tunastahili kupata sapoti kubwa kuliko tunayopata. Msimu uliopita tulishinda Ubingwa wa ligi lakini uwanja ulikuwa mtupu. "Tunahitaji kelele zaidi, watu wengi zaidi kwenye siti (Uwanjani) na kwa kweli nafikiri tunastahili kwa sababu...
  7. Movic Evara

    Kocha Al Ahly: Tutacheza tofauti na tulivyocheza Tanzania

    "Kushinda ugenini imewapa hali ya kujiamini wachezaji wangu, nimewaambia Mchezo bado haujaisha tunapaswa kucheza kana kwamba hatujashinda ugenini. Tunapaswa kufunga magoli mapema. Tutacheza kwa mpango tofauti na ule tuliocheza Tanzania" Marcel Koller Kocha wa klabu ya Al-Ahly "Nilifurahishwa...
  8. gaspern gaspal

    SoC03 Kero yangu kwa vyombo vya habari televisheni na redio

    Naandika kuhusu mambo ambayo yamekuwa yanafanyika mwenye vyombo hivi vya habari pendwa na vyenye watumiaji wengi. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ukuaji mkubwa wa tasnia hii ya habari hapa nchini, lakini katika ukuaji huo kumekuwa na mambo ambayo yanafanyika au kufanywa ambayo yanakua...
  9. Ramsy Dalai Lama

    Short story: Hamu + Desire

    Nakumbuka nikiwa mdogo jinsi nilivyotamani kuishi kwenye nyumba ya kifahari kama ambazo walikua wakiishi rafiki zangu ambao walikua watoto wa matajiri na wengi walikua waarabu..Baba zao walikua wenye company za ASAS, F.M Abri, Estate Co, OilCom, Temeke Bakery na wengineo ikiwemo na baadhi ya...
  10. TECNO Tanzania

    Phone4Sale Tupe maoni yako

    Habari Ndugu! Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa. Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
  11. Dr Msaka Habari

    TanTrade yajipanga zaidi maonyesho yajayo

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Twilumba Mlelwa Amesema kuwa, maonyesho ya 46 ya Jukwaa la kimataifa la biashara Dar es Salaam DITF yalikuwa na mafanikio makubwa sana ikiwa na ongezeko la washiriki na watembeleaji ambapo jumla ya kampuni 3200 za...
  12. Ntaganda boy

    SoC01 Magonjwa ya haiba yanavyoathiri mahusiano

    MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP) Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima Haiba: Ni urithi au vitu unavyozaliwa navyo na baadhi kutoka kwenye mazingira na kukufanya au kumfanya...
  13. M

    Ulishawahi kufikiria kukiri dhambi kwa uliyofanya kwa kila mmoja kwa kumwambia?

    habari wandugu namshukuru mungu kwa afya njema yenye furaha, naomba ku share mawazo nanyi ikiwa kama sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Mimi naamini kila binadamu ni mkosefu kwa namna yake, na naamini yapo makosa ya kila siku ambayo tunayatenda asilimia kubwa kwa kila binadamu. Natamani sana...
  14. Babu Kijiwe

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  15. VentureCapitalist

    Nafikiria kuuweka kwenye kifungashio ugoro niwe nauza kwenye supermarket, maduka n.k

    Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu. Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira na kuingiziwa kipato kwa nchi.
  16. H

    Ifahamu miti ya mastafeli (mastakafeli) na mitopetope

    Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu. Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. Tuchambue pamoja...
Back
Top Bottom