habari potofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taarifa Potofu zimekuwepo kwenye Historia ya Binadamu kabla hata ya kugunduliwa kwa Mitandao ya Kijamii

    Habari potofu au habari za kupotosha zimekuwepo kwa muda mrefu kabla ya kuibuka kwa mitandao ya kijamii. Hata kabla ya enzi za teknolojia ya digitali, watu walikuwa wakitumia njia mbalimbali kusambaza habari potofu kwa lengo la kufikia malengo yao, iwe ni kisiasa, kiuchumi, au kijamii. Hapo...
  2. Kutengeneza habari potofu kunaweza kukuweka matatizoni kisheria na kijamii

    Utengenezaji wa taarifa potofu unapingwa katika nchi mbalimbali. Baadhi ya watu katika jamii nyingi wamejikuta matatizoni kwa kuingia vifungoni au kulazimika kulipa fidia kwa sababu ya kutoa taarifa potofu kuhusu watu, kampuni na taasisi mbalimbali. Tanzania, kama nchi nyingine, ina sheria...
  3. Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

    Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa. --- Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya...
  4. Mchango wa vichwa vya Habari katika Kusambaza Habari Potofu

    Vichwa vya habari vinaweza kuwa sehemu muhimu katika kusambaza habari potofu kwa sababu vinaweza kuvutia umakini wa wasomaji, kuchochea hisia, na hata kutoa taswira isiyo sahihi ya habari kamili. Katika dunia ya sasa ambayo teknolojia ya habari imekua kwa kiasi kikubwa, baadhi ya watu wanaweza...
  5. Matumizi ya Teknolojia ya 'Deepfake' katika kutengeneza video zenye Taarifa Potofu

    Deepfake ni aina ya ubunifu wa kidigitali unaotumia teknolojia ya Akili Bandia (AI) kubadilisha au kuunda picha, sauti na video ambazo huonekana kama ni za kweli, lakini zimeundwa kwa njia bandia. Jina "deepfake" linatokana na maneno mawili: "Deep learning" (kujifunza kwa kina), ambayo ni aina...
  6. Athari za Usambazaji wa Habari Potofu kwenye Jamii

    Taarifa potofu ni habari ambayo si sahihi. Taarifa potofu inaweza kuwa na athari hasi au kuwachanganya watu kutokana na ukosefu wa usahihi au udanganyifu. Athari za taarifa potofu yanaweza kuwa makubwa au vinginevyo kulingana na unyeti wa taarifa iliyosambazwa ikiwa haina usahihi. Kadiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…